Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki
katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26
mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na
kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na
viongozi mbalimbali wa serikali taasisi za dini na vyma vya siasa,
Kushoto ni Mke wa Rais mama Salma Kikwete na kushoto ni Mkewa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki
wake zao katika hafla hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza
kifaa maalum cha kufyatua mafataki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka
50 ya uhuru wa Tanzania.Mafataki yakilipuka katika viwanja vya ikulu ikiwa ni moja ya burudani katika sherehe hizo.Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Msanii MwanaFA aka Binamu.Wazee wa Politiko Lifo Chipaka na Fahmi Dovutwa kulia wakifurahia Muungano.Wasanii mbalimbali walikuwepo katika hafla hiyo.Wadau kutoka Lugumi Enterprises walihudhuria katika hafla hiyo.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jembe Jesca Msambatavangu kushoto na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu wakiwa katika hafla hiyo.Mama Arafa Ridhiwani akiwa na ndugu zake katika hafla hiyo.Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na
Mama Arafa Ridhiwani Kikwete kulia pamoja na ndugu zake.
No comments:
Post a Comment