Pages

Sunday, April 27, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA MAGONJWA YA MOYO CHA MUHIMBILI

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo 

 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo

 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo 

No comments:

Post a Comment