Pages

Wednesday, April 30, 2014

PICHA MBALI MBALI ZA UKAWA WALIPOUTEKA MJI WA ZANZIBAR

WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAOKIWANJA CHA KIBANDA MAITI

MUASISI MZEE NASORO MOYOALIFIKA KWENYE UKAWA

MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCRMAGEUZI MUSONA

MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR  SLAA

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI
WANANCHI WAKISHANGILA

WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAWA

WENYEVITI WA UKAWA  JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI

ASKARI  WA KIKOSZI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TATU

EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YAO

MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU

No comments:

Post a Comment